Kama mnavyojua kwenye Superbowl wasanii huchaguliwa kwenda ku-perform, kuburudisha the big crowd ambao watahudhuria kuangalia michezo, na kila msanii anayeitwa kuwenda ku-perform huwa amejiandaa haswa na dance moves and all that.
Now this time around Adele ndio kachaguliwa, wamemuomba aende ku-perform lakini kakataa saying that yeye sio Beyonce hawezi kuimba na kucheza kama Beyonce.
For real though Adele is a great singer, but she just sings, sijawahi kumuona akicheza in any of her performances, lakini wamemuita for a reason, people do love her.
Adele on stage
Beyonce aki-perform at the super bowl.
Comments
Post a Comment