Beyonce na JayZ walienda kwenye premier ya movie mpya HANDS OF STONE ambayo rafiki yao was karibu Usher alikuwa mmoja wamain character.
JayZ na Beyonce wali-avoid the red carpet but they took a picture with Usher na zingine za kuibwa tu.
The couple wore matching grey suits.
Comments
Post a Comment