Angalia video hii by The brilliant beauty uone ilivyokuwa rahisi kujisuka hata mwenyewe crochet braids. Tembelea Zurii House of Beauty kuweza kupata hiyo sindano inaitwa LATCH HOOK na kupata nywele aina nyingi za kusukia crotchet braids.
KUWA UPDATED NA VITU VINAVYOPATIKANA ZURII HOUSE OF BEAUTY TUFOLLOW INSTAGRAM ::
ZURIIHOUSEOFBEAUTY
Comments
Post a Comment