Hizi ni baadhi tu ya picha za birthday ya Tiffah, mtoto wa Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady. Hii birthday ilifanyika huko South Africa na ni just the 1st birthday. This means birthday nyingine itafanyika huku huku bongo this weekend nadhani.
Birthday fit for a princess indeed, princess Tiffah alivalishwa gauni lenye thamani ya $250
Comments
Post a Comment