WATCH 3 EASY HIJAB STYLES UNAZOWEZA KUVAA KWA HARUSI BY RUBA ZAI.
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Ruba Zai anatumia eleganta scarfs, amterial ya chiffon ambayo ipo kama sheer yaani inaangaza kufunga hijab katika this tutorial..lakini anavyofunga hijab inakuwa haiangazi na inakaa vizuri.
Anatuonesha 3 different styles ambazo ni perfect kuvaa katika occassions kama harusi nk.
Comments
Post a Comment