When it comes to fashion shows za wenzetu, tumeshazoea kuona designs kibao ambazo mtu huwezi kuvaa mtaani, unless you are Rihanna then you can rock anything anywhere.. but this time around ZAC POSEN ali-showcase his collection huko New York Fashion Week, na guess what zote unaweza kuzivaa na ukatoka nazo bila kuonekana kituko.
These are just some of his designs from his collection..
Comments
Post a Comment