Kiki kama designer over the years amekua sana ,na amejizoelea umaarufu kwa designs zake,akiwa kawavisha waru wengi from work wear,casual ,functions kama kitchen parties,weddings,sendoff etc
Kitenge biker coat
kitenge long coat
tops
Maxi dress
trending the off shoulder and bell sleeve dress
Comments
Post a Comment