Diamond Platnumz na Zari kuwa fearuted kwenye Jarida la Mamas and Papas la South Africa,Cheki Maternity Photoshoot yao
Wakati wengi tunasubiri kujua kama Zari ameshajifungua au la ,maana Diamond akiwa aki snapchatika sana huko hospitali.
Wazazi hawa wa Tiffah na anaekuja walifanya photoshoot special kwa ajili ya kukava jarida la Mamas and Papas ambalo lina focus na parenting/malezi ya watoto .
Kwenye Maternity photoshoot hiyo basi walivaa kama kwenye video ya Salome,maana Diamond huwa anasema Zari ndo salome wake original .
Well huko Diamond alivaa white outfit yenye pop of colors wakati Zari aliwa na Dashiki skirt,white bra na kilemba bila kusahau necklace ya shanga.
Comments
Post a Comment