Diana kaongea ya Miss World 2016 na alichofanyiwa na Miss Kenya
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mrembo aliyeiwakilisha Tanzania kwenye Miss World 2016 lililofanyika Washington Marekani Diana Edward, amerudi Tanzania ambapo Waandishi walimdaka Airport na akakubali kujibu maswali mbalimbali ikiwemo ishu kati yake na Miss Kenya ambaye aliingia mpaka kwenye 5 bora.
Comments
Post a Comment