WCB walivyozikonga nyoyo za Mashabiki wao huko Iringa
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Baada ya December 24 kuangusha show kwenye fukwe za Jangwani Sea Breeze, jijini Dar es Salaam, timu nzima ya WCB ilielekea Iringa kushererehea sikukuu ya Christmas kwa show kubwa kwenye viwanja vya Samora.
Comments
Post a Comment