wanasema ukiwa na mttoo wa kike ni rahisi sana kuvaa nae nguo za sare sare,Zari nae hakua nyuma akiwa na binti yake pekee hadi sasa Tiffah Dangote wakiwa wametinga vigauni vya khanga
Zari akiwa kavaa a highlow dress with ankle strap sandals
Tiffah alikuwa spotted kapendeza na vazi la khanga and we love her
mama na mwana ,Raha sana.
nguo zao ni toka kwa kattycollection wacheki instagram
Comments
Post a Comment