Utani wa Idris Sultan umemweka kikaangoni. Mtangazaji na mchekeshaji huyo amemtumia salamu za siku ya kuzaliwa Diamond na kuweka utani uliomfanya ajikute akikosolewa vikali.
Hamisa alijibu hivi
Badae Idris Alifuta post na kuandika hii ya kuomba radhi
Comments
Post a Comment