Jana ndiyo hukumu ya Elizabeth Michael muigizaji maarufu tunaomjua zaidi kwa jina la Lulu,na mastaa wengi walimlilia Lulu ila Hamisa Mobetto ambaey wengi walidhani anatofauti na muigizaji huyu alionyesha wazi kwamba wako sawa na mtoto wake Hamisa ambaye baba yake ni Majizzo anaesaidikiwa kua ni mpenzi wa Lulu.
Kupitia instagram story ya Hamisa aliandika haya
Ni Mapito Tu aunty ake Fansy ππΎπ
....... kinachoniuma Zaidi Ni how much
Fantasy amekuzoea ππΎ.
.
We are both not ready for that change katika maisha yetu.
MUNGU akupe Nguvu Na kukusimamia love .ππΎ❤️
M/Mungu ampe Nguvu mama Yako katika kipindi hichi without forgetting Mdogo ako Iki ....sijui kama nitaweza kumuona bila kutokwa na machozi .π°
.
. ππΎ am not ready baby ππΎπ
Comments
Post a Comment