Yes wanja wa samaki maana mwembamba sana ,kwenye kurasa za mbele za British Vogue September Issue yupo Rihanna ambaye ametokea na wanja wa tofauti sana.
wanja mwembamba sana ,yani ni ule wa miaka ya 90 wanaompenda Riri kama nawaona mtakavyokimbiza ,personally hapana isee
Vipi wauonaje??utajaribu??
Comments
Post a Comment