Studio ya Tuff Records iliyopo mjini Morogoro,Katika kushehelekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania.katika sherehe hizo Tuff Records yawakusanya wasanii wa kizazi kipya ambao ni wapya katika tasnia ya muziki,ikiwa kama kuonesha umoja wao katika taifa.Wimbo huu ni kwajili ya watu wote wenye upendo na inchi hii. Ni kwa ushilikiano na blog ya CHUMA (BFL) http://bongoflavalink. blogspot.com
safi sana Morogoro.. need to be puted on the Map! you guys are doing great Job! thankyou all..
ReplyDeletesafo sana Morogoro need to be on the Map, you guys are doing geat job!
ReplyDeletefrom Moro family,saw ur post there and stop by to read this! great job guys!
ReplyDelete