TUFF REC YAFANYA WIMBO WA MIAKA 50 NA WASANII WA MOROGORO...!!!

Studio ya Tuff Records iliyopo mjini Morogoro,Katika kushehelekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania.katika sherehe hizo Tuff Records yawakusanya wasanii wa kizazi kipya ambao ni wapya katika tasnia ya muziki,ikiwa kama kuonesha umoja wao katika taifa.Wimbo huu ni kwajili ya watu wote wenye upendo na inchi hii. Ni kwa ushilikiano na blog ya CHUMA (BFL) http://bongoflavalink.blogspot.com



WASANII WALIO SHILIKI KATIKA NYIMBO NI: 

NellyTuff Rec Ft Nelly Crizy, Man Fair, Nasreal, Malale,GS, Big Poppa, Raz Q, Roberly &Young Steve



Mtayalishaji wa muziki

GQ- 0657659969



WIMBO:

TUNAWEZA(MIAKA 50)



STUDIO:

TUFF RECORDS
kwa mawasiliano: +225 712 222244


Comments

  1. safi sana Morogoro.. need to be puted on the Map! you guys are doing great Job! thankyou all..

    ReplyDelete
  2. safo sana Morogoro need to be on the Map, you guys are doing geat job!

    ReplyDelete
  3. from Moro family,saw ur post there and stop by to read this! great job guys!

    ReplyDelete

Post a Comment