KODAK MOMENT OF JALIA'S GRADUATION DAY & DINNER...!!!

Jalia aka Mrs Mavemba amelamba nondoz ya BA Hons in Business kutoka chuo kikuu cha De Montfort Leicester UK 
Jalia akiwa na wanae
Chezea fashionista graduate! Kapendezaje
Jalia akikata keki iliyo andaliwa rasmi kwaajili yakumpongeza
Jalia akmlisha mwanae cake
Jalia akiw ana mwanae 
Ukodak moment wa Jalia & Sihamu! Safi sana
Mahug ya kumpongeza Jalia kutoka kwa Rukia
Jalia & Halima full kupendeza! Mambo ya colour blocking bado yana bamba 
 Jalia akiwa katika pose na Leila
 Jalia, da Zohrah & Mary katika pose
 Jalia akiwa katika pose na Maryam wa Hartmann
Jalia & Nasra katika pose
Batuli, Jalia & Leila kkodak moment ukiendela

Jalia akijisevia msosi
Mapose mpaka kwenye menu aaaa safi sana
My wii Rai akipata menu
Batuli akijipatia msosi
Aunty Saada akipata msosi! Menu imetulia si  mchezo 
Mariam ndani ya nyumba na kitu cha chui chui zi mchezo
Fashionista Saada ndani
Sabah akipata msosi! Daa huu msosi si mchezo!
Joela ndani na kitu cha snake print. Love it!
Da Maryam akijipatia menu
Da Zohrah na shosti wake Mary wakipata menu
Msosi ukiendela
Hapana taka mchezoooo watu full kujinafasi 
Happy Jalia & Halima people wakilisakata
 Maryam & Jalia
 Rai & Jalia
 Joela, Jalia & Saada
Jalia na rafiki yake
Halima & Aisha
Jalia, Mariam Mandingo na rafiki yao
Maposeeeeee
Rhumba likiendelea
Watoto pia hawakubaki nyuma katika kumpongeza
 Jalia na mashosti wake waliohudhuria sherehe za kumpongeza
Jalia na mashoti zake
Hongera sana My sis Jalia & nakutakia mafanikio mema katika maisha yako.
Much love
JG
xoxoxox

Comments

  1. Hongera dada wewe ni mfano wakuigwa.

    ReplyDelete
  2. Naoan wakina mama wamechachama hongera Jalia

    ReplyDelete

Post a Comment