Jalia aka Mrs Mavemba amelamba nondoz ya BA Hons in Business kutoka chuo kikuu cha De Montfort Leicester UK
Jalia akikata keki iliyo andaliwa rasmi kwaajili yakumpongeza
Jalia akmlisha mwanae cake
Jalia akiw ana mwanae
Ukodak moment wa Jalia & Sihamu! Safi sana
Mahug ya kumpongeza Jalia kutoka kwa Rukia
Jalia & Halima full kupendeza! Mambo ya colour blocking bado yana bamba
Jalia akiwa katika pose na Leila
Jalia, da Zohrah & Mary katika pose
Batuli, Jalia & Leila kkodak moment ukiendela
Jalia akijisevia msosi
Mapose mpaka kwenye menu aaaa safi sana
My wii Rai akipata menu
Batuli akijipatia msosi
Aunty Saada akipata msosi! Menu imetulia si mchezo
Mariam ndani ya nyumba na kitu cha chui chui zi mchezo
Fashionista Saada ndani
Sabah akipata msosi! Daa huu msosi si mchezo!
Joela ndani na kitu cha snake print. Love it!
Da Maryam akijipatia menu
Da Zohrah na shosti wake Mary wakipata menu
Msosi ukiendela
Hapana taka mchezoooo watu full kujinafasi
Happy Jalia & Halima people wakilisakata
Maryam & Jalia
Rai & Jalia
Joela, Jalia & Saada
Jalia na rafiki yake
Maryam & Jalia
Rai & Jalia
Joela, Jalia & Saada
Jalia na rafiki yake
Halima & Aisha
Jalia, Mariam Mandingo na rafiki yao
Maposeeeeee
Rhumba likiendelea
Watoto pia hawakubaki nyuma katika kumpongeza
Jalia na mashosti wake waliohudhuria sherehe za kumpongeza
Much love
JG
xoxoxox
Jalia na mashoti zake
Hongera sana My sis Jalia & nakutakia mafanikio mema katika maisha yako.Much love
JG
xoxoxox
Hongera dada wewe ni mfano wakuigwa.
ReplyDeleteNaoan wakina mama wamechachama hongera Jalia
ReplyDelete