ANDREW NGALAWA say Lulu alitueleza hana mpenzi sasa inakuaje afu mimi nimesha wahi kumuona maeneo ya hatari kwa macho yangu mawili afu yeye anavyosema hana mpenzi mi ninaona yuko sahihi labda angeulizwa kama anafanya ngono labda angejibu kwa sabubu swala la kutokua na mpenzi sio kwamba afanyi ngono kwa hio tunapomuuliza mtu lazima ujipange sawasawa ili upate unachoitaji
dah, yaani full uongo mwanzomwisho. Afu Salama kama alijua vile, kagonga mule mule...mnalala na master kama Kanumba na Ray kingono ili mtomke..ah ah, hapana. Unatoka na watu wazima, ah ah, hapana. Haijachukua hata wiki kila kitu hadharani, duh, noma bin aibu mtoto. Kwa clip hii nimejifunza ukweli utatuweka huru, pia methali ya wahenga mficha maradhi mauti humuumbua. Mauti ya Kanumba yamewaumbua wote wawili
thanks dada jestina,
ReplyDeleteANDREW NGALAWA say
ReplyDeleteLulu alitueleza hana mpenzi sasa inakuaje afu mimi nimesha wahi kumuona maeneo ya hatari kwa macho yangu mawili afu yeye anavyosema hana mpenzi mi ninaona yuko sahihi labda angeulizwa kama anafanya ngono labda angejibu kwa sabubu swala la kutokua na mpenzi sio kwamba afanyi ngono kwa hio tunapomuuliza mtu lazima ujipange sawasawa ili upate unachoitaji
dah, yaani full uongo mwanzomwisho. Afu Salama kama alijua vile, kagonga mule mule...mnalala na master kama Kanumba na Ray kingono ili mtomke..ah ah, hapana.
ReplyDeleteUnatoka na watu wazima, ah ah, hapana. Haijachukua hata wiki kila kitu hadharani, duh, noma bin aibu mtoto.
Kwa clip hii nimejifunza ukweli utatuweka huru, pia methali ya wahenga mficha maradhi mauti humuumbua. Mauti ya Kanumba yamewaumbua wote wawili