TV SHOW : MKASI EPISODE SO2E08 WITH LULU aka ELIZABETH MICHAEL...!!!

Kwa show zilizo pita tembelea mkasi.tv

Comments

  1. thanks dada jestina,

    ReplyDelete
  2. ANDREW NGALAWA say
    Lulu alitueleza hana mpenzi sasa inakuaje afu mimi nimesha wahi kumuona maeneo ya hatari kwa macho yangu mawili afu yeye anavyosema hana mpenzi mi ninaona yuko sahihi labda angeulizwa kama anafanya ngono labda angejibu kwa sabubu swala la kutokua na mpenzi sio kwamba afanyi ngono kwa hio tunapomuuliza mtu lazima ujipange sawasawa ili upate unachoitaji

    ReplyDelete
  3. dah, yaani full uongo mwanzomwisho. Afu Salama kama alijua vile, kagonga mule mule...mnalala na master kama Kanumba na Ray kingono ili mtomke..ah ah, hapana.
    Unatoka na watu wazima, ah ah, hapana. Haijachukua hata wiki kila kitu hadharani, duh, noma bin aibu mtoto.
    Kwa clip hii nimejifunza ukweli utatuweka huru, pia methali ya wahenga mficha maradhi mauti humuumbua. Mauti ya Kanumba yamewaumbua wote wawili

    ReplyDelete

Post a Comment