TV SHOW: TAKE ONE 2nd SEASON EPISODE 11...!!!

Kipindi kinaangalia hali ya mastar wa bongo movie walio bahatika kupata watoto. Baadhi ya mastar hao ni Wastara na Sajuki, Dude, Cloud, Hidaya na wengine wengi. Katika show hii Sajuki pia anaongelea ugonjwa wake na Wastara atafunguka zaidi.

Comments

  1. very sad! ugonjwa umembadilisha kabisa sajuki, MUngu amsaidie amponye jamani, pole wastara wasanii na washabiki

    ReplyDelete
  2. Mmmmhh Pole sana dada Wastara na kaka Sajuki,Mungu hatowaacha kamwe haya ni mapito.

    ReplyDelete

Post a Comment