TV SHOW: TAKE ONE 2nd SEASON EPISODE 11...!!! on April 27, 2012 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Kipindi kinaangalia hali ya mastar wa bongo movie walio bahatika kupata watoto. Baadhi ya mastar hao ni Wastara na Sajuki, Dude, Cloud, Hidaya na wengine wengi. Katika show hii Sajuki pia anaongelea ugonjwa wake na Wastara atafunguka zaidi. Comments pasychazia27 April 2012 at 11:49very sad! ugonjwa umembadilisha kabisa sajuki, MUngu amsaidie amponye jamani, pole wastara wasanii na washabikiReplyDeleteRepliesReplyRachel Siwa27 April 2012 at 20:34Mmmmhh Pole sana dada Wastara na kaka Sajuki,Mungu hatowaacha kamwe haya ni mapito.ReplyDeleteRepliesReplyAdd commentLoad more... Post a Comment
very sad! ugonjwa umembadilisha kabisa sajuki, MUngu amsaidie amponye jamani, pole wastara wasanii na washabiki
ReplyDeleteMmmmhh Pole sana dada Wastara na kaka Sajuki,Mungu hatowaacha kamwe haya ni mapito.
ReplyDelete