MWIGIZAJI AUNTY EZEKIEL NA DEMONTE WAMEREMETA DUBAI...!!!

Alf Alf Mabrook Rahma & Demonte

Mr & Mrs Demonte katika pose wakati wa reception yao
 Mrs Rahma Demonte katika pose mara baada ya kufunga ndoa
Mrs Demonte akiwa katika pose na Milly Almasi
Sunday & Aunty wakilisakata rhumba

New couple in town
Aunty akiwa na mume wake na wapambe wao. Mashallah







JG Blog inapendakuwatakia Rahma na Demonte kila la kheri katika ndoa yao na mibaraka tele kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Poleni kwa quality mbaya ya picha tukipata nzuri tutawarushia hapa live. Enjoy

Comments

  1. Huyo bwana harusi ni mtoto au macho yangu?

    ReplyDelete
  2. mbona bwana harusi serengeti boys?????????

    ReplyDelete
  3. jamani ni quality ya picha au macho yako sawasawa? bwana harusi sio 18 kweli?

    ReplyDelete
  4. jamani huyu bwana harusi sio mtoto sana

    ReplyDelete
  5. Mfupi tu labda mkubwa au vipi

    ReplyDelete
  6. wapendeza sana ila bwana harusi ule ushibe unenepe

    ReplyDelete
  7. Jamani hata mie sielewi! ujanja wote huo wa aunt Ezekile kaishia kwa serengeti boy? watch that space! ndio mabo ya kina KIM kardashia 72days.

    ReplyDelete
  8. Mh mbona raha blog Bure ingekuwa kama gazeti kununua tungefilisika maana hapa juu ya hii ndoa tutayasoma meeeeeengi!! Asante JG!!

    ReplyDelete
  9. Jamani mbona muna jaji sana tumfurahikie mwenzetu amesitirika ndio ameshaolewa akiwa mrefu Mfupi ndio kampenda mwenyewe hoja masikilizano na upendo tusiwe hivyo majungu.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. wanawivu hao wamemuona aunty kawini ndo majungu wanayapika lakini bure aunty yuko dubai ala raha zake

      Delete
  10. lol wedding was amazing ! ^^ <3 aunty you look preety mashallah

    ReplyDelete
  11. hongera aunty ezekiel kwa kufunga ndoa

    ReplyDelete
  12. Hii Filamu inatoka lini? naamini hapo wapo Location na si tukio la kweli. na ile script ya kufumaniwa imeshakamilika?

    ReplyDelete
  13. kwa kweli nimefurahi ni muigizaji nimpendae namuombea ndoa yake idumu mume angekuwa mtoto angeoa acheni majungu jamani ni umbo tu mwacheni aunt ajilie raha

    ReplyDelete
  14. Siamini kama utamuweza kweli huwa kashinda ile mbaaya bwana halafu kajiserengeti boy! Aunt ameshindikana sio mchezo

    ReplyDelete
  15. dah hapo mie sina neno, macho yenyewe shahidi

    ReplyDelete
  16. macho yangu au ni uzeee jamani uyu bwana harusi namuona kama under 18 au nahitaji miwani

    ReplyDelete

Post a Comment