Alf Alf Mabrook Rahma & Demonte
Mr & Mrs Demonte katika pose wakati wa reception yao
Mrs Rahma Demonte katika pose mara baada ya kufunga ndoa
Mrs Demonte akiwa katika pose na Milly Almasi
Sunday & Aunty wakilisakata rhumba
New couple in town
JG Blog inapendakuwatakia Rahma na Demonte kila la kheri katika ndoa yao na mibaraka tele kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Poleni kwa quality mbaya ya picha tukipata nzuri tutawarushia hapa live. Enjoy
Poleni kwa quality mbaya ya picha tukipata nzuri tutawarushia hapa live. Enjoy
Huyo bwana harusi ni mtoto au macho yangu?
ReplyDeletembona bwana harusi serengeti boys?????????
ReplyDeletejamani ni quality ya picha au macho yako sawasawa? bwana harusi sio 18 kweli?
ReplyDeletejamani huyu bwana harusi sio mtoto sana
ReplyDeleteMfupi tu labda mkubwa au vipi
ReplyDeletewapendeza sana ila bwana harusi ule ushibe unenepe
ReplyDeleteJamani hata mie sielewi! ujanja wote huo wa aunt Ezekile kaishia kwa serengeti boy? watch that space! ndio mabo ya kina KIM kardashia 72days.
ReplyDeleteMh mbona raha blog Bure ingekuwa kama gazeti kununua tungefilisika maana hapa juu ya hii ndoa tutayasoma meeeeeengi!! Asante JG!!
ReplyDeleteJamani mbona muna jaji sana tumfurahikie mwenzetu amesitirika ndio ameshaolewa akiwa mrefu Mfupi ndio kampenda mwenyewe hoja masikilizano na upendo tusiwe hivyo majungu.com
ReplyDeletewanawivu hao wamemuona aunty kawini ndo majungu wanayapika lakini bure aunty yuko dubai ala raha zake
Deletelol wedding was amazing ! ^^ <3 aunty you look preety mashallah
ReplyDeletehongera aunty ezekiel kwa kufunga ndoa
ReplyDeleteHii Filamu inatoka lini? naamini hapo wapo Location na si tukio la kweli. na ile script ya kufumaniwa imeshakamilika?
ReplyDeletekwa kweli nimefurahi ni muigizaji nimpendae namuombea ndoa yake idumu mume angekuwa mtoto angeoa acheni majungu jamani ni umbo tu mwacheni aunt ajilie raha
ReplyDeleteSiamini kama utamuweza kweli huwa kashinda ile mbaaya bwana halafu kajiserengeti boy! Aunt ameshindikana sio mchezo
ReplyDeleteteh teh teh
ReplyDeletedah hapo mie sina neno, macho yenyewe shahidi
ReplyDeletemacho yangu au ni uzeee jamani uyu bwana harusi namuona kama under 18 au nahitaji miwani
ReplyDelete