LEO NDO LEO! NJOO USHUHUDIE LIVE PERFORMANCE KUTOKA KWA BARNABA, SUMA LEE, KBA NA GEE MAGIK NDANI YA STRATFORD TOWN HALL KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 51 YA UHURU WA TANGANYIKA! KARIBUNI SANA...!!!
Wasanii wanaotamba kwenye anga za Bongo Flava Barnaba na Suma Lee wakiwa na wenyeji wao nchini UK ambako wamekuja kwaajili ya kupiga show kwenye sherehe za Uhuru zitakazo fanyika leo Stratford Town Hall usiku wa Leo.
Mwandalizi wa sherehe za Uhuru wa tanzania UK Safina Kassu wa Kassu Entertainmet akiwa katika pose na msanii Barnaba jana usiku kwenye pirika za promotion
JG katika pose na Barnaba
Barnaba akiwa katika pose na fans wake ndani ya UK
Moi na Suma Lee
Barbaba na Suma Lee katika pose
Suma Lee akiwa katika pose na Vegas na Rash Brown
Babu Tale paleeeee! Watu weweeeeeee
Team imekamilika tukutane later Stratford Town Hall
Comments
Post a Comment