Posts

BARNABA NA SUMA LEE WATINGISHA LONDON KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 51 WA UHURU WA TANZANIA BARA...!!!

LEO NDO LEO! NJOO USHUHUDIE LIVE PERFORMANCE KUTOKA KWA BARNABA, SUMA LEE, KBA NA GEE MAGIK NDANI YA STRATFORD TOWN HALL KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 51 YA UHURU WA TANGANYIKA! KARIBUNI SANA...!!!