Posts

LEO NDO ILE RESTAURANT YA KISASA "KILIMANJARO PASSION" INAFUNGULIWA RASMI WASHINGTON DMV.KARIBUNI KWA CHAKULA SAFI NA MANDHARI SAFI...!!!

MGAHAWA WA KITANZANIA "KILIMANJARO PASSION" UNAOSUBIRIWA KWA HAMU KUBWA WASHINGTON DMV SASA KUFUNGULIWA RASMI IJUMAA HII TAR 15 SAA TISA MCHANA NA MAAFISA WA UBALOZI...!!!