Posts

MPAMBANO WA UBINGWA WA IBF AFRICA...!!!

MPAMBANO KATI YA BONDIA SELEMANI SAIDI VS CALED AMAEINDA WA KENYA LINATARAJIWA KUCHEZWA KESHO JUMAMOSI KATIKA UWANJA WA KINESI...!!!