Posts

MAHAFALI YA TATU YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) YAENDELEA KUFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA CHIMWAGA MUDA HUU..!!!

WAHITIMU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAKISUBIRIA KUCHUKUA MAJOHO YAO TAYARI KWA KUHUDHURIA MAHAFALI YAO TAREHE 21 NA 22 NOVEMBA 2012...!!!